# Toka nje ... 17Wachukuwe "Ondoka ...Chukua" Baadhi ya tafsiri husoma "Njoo nje ... Leta nje". # kila kiumbe hai chenye mwili "kila aina ya kiumbe hai" Maana yaweza kuwa 1) wanadamu wote au 2) viumbe vyote vyenye mwili, ikijumlisha wanadamu na wanyama. # kwa kuzaliana na kuongezeka Hii ni lahaja. Jazeni nchi na watu. Mungu alitaka wanadamu na wanyama kuzaliana, ili waweze kuwa wengi wa aina yao.