sw_tn/gen/05/06.md

20 lines
329 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# akawa baba wa Enoshi
Hapa "baba" inamaana ya baba mzazi, na sio babu. "akamzaa mwana wake wa kiume Enoshi"
# Enoshi
Hili ni jina la mtu
# naye akawa baba wa wana wengi waume na wake
"na akawa na wana zaidi wa kiume na kike"
# Sethi akaishi miaka 912
"Sethi aliishi jumla ya miaka 912"
# kisha akafariki
"Kisha akafa"