# akawa baba wa Enoshi Hapa "baba" inamaana ya baba mzazi, na sio babu. "akamzaa mwana wake wa kiume Enoshi" # Enoshi Hili ni jina la mtu # naye akawa baba wa wana wengi waume na wake "na akawa na wana zaidi wa kiume na kike" # Sethi akaishi miaka 912 "Sethi aliishi jumla ya miaka 912" # kisha akafariki "Kisha akafa"