sw_tn/gen/04/16.md

16 lines
286 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# akatoka mbele ya uwepo wa Yahwe
Ingawa Yahwe yupo kila mahali, lahaja hii inamzungumzia Kaini kana kwamba alienda mbali sana. "aliondoka kutoka mahali ambapo Yahwe alizungumza naye"
# Nodi
Neno Nodi linamaana ya "mkimbizi"
# akamjua
akamjua
# Akajenga mji
"Kaini akajenga mji"