# akatoka mbele ya uwepo wa Yahwe Ingawa Yahwe yupo kila mahali, lahaja hii inamzungumzia Kaini kana kwamba alienda mbali sana. "aliondoka kutoka mahali ambapo Yahwe alizungumza naye" # Nodi Neno Nodi linamaana ya "mkimbizi" # akamjua akamjua # Akajenga mji "Kaini akajenga mji"