sw_tn/gen/03/07.md

24 lines
738 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Macho ya wote wawili yalifumbuliwa
"Kisha macho yao yakafumbuliwa" au "Wakapata ufahamu" au "Wakaelewa"
# Wakashona
"wakakaza" au"wakaunganisha"
# majani ya miti
Iwapo watu hawajui majani ya miti yakoje, hii yaweza kutafsiriwa kama "majani makubwa ya mti" au kwa wepesi "majani makubwa"
# na wakatengeneza vya kujifunika kwa ajili wao wenyewe
Walifanya hivi kwa sababu walikuwa na aibu. Taarifa hii inayojitokea yaweza kufanywa dhahiri kama itahitajika. "na wakajivika navyo kwa sababu walikuwa na aibu"
# majira ya kupoa kwa jua
"katika kipindi hicho cha siku ambapo hewa tulivu huvuma"
# kutoka kwa uwepo wa Yahwe Mungu
"kuepuka uwepo wa Yahwe Mungu" au "ili kwamba Yahwe Mungu asiweze kuwaona" au "kutoka kwa Yahwe Mungu"