sw_tn/gen/02/15.md

36 lines
733 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# bustani ya Edeni
"bustani iliyokuwa Edeni"
# kuilima
"kuilima". Hii ina maana ya kufanya kila kitu cha muhimu ili mimea iweze kuota vizuri.
# kuitunza
kuilinda dhidi ya mambo mabaya yanayoweza kuikuta
# kutoka kwenye kila mti bustanini
"Tunda katika kila mti la bustani"
# wewe
kiwakilishi ni cha kipekee
# waweza kula kwa uhuru ...usile
Katika baadhi ya lugha ni kawaida kusema kile ambacho hakiruhusiwi na kisha kusema kile ambacho hakiruhusiwi.
# waweza kula kwa uhuru
"waweza kula bila kizuizi"
# mti wa ujuzi wa mema na mabaya
"mti unaowapa watu uwezo wa kuelewa mema na mabaya" au "mti unaowafanya watu wanaokula matunda yake kujua mambo mazuri na mambo mabaya.
# usile
"sitakuruhusu ule" au "haupaswi kula"