sw_tn/gen/02/01.md

36 lines
828 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mbingu
"anga" au "mbingu"
# na viumbe hai vyote vilivyo jaza
"na viumbe hai vingi ambavyo vimo ndani yao" au "na makundi ya viumbe hai vinavyoishi ndani mwao"
# zilimalizika
Hii inaweza kutajwa katika njia endelevu "Mungu alimaliza kuviumba"
# Siku ya saba Mungu alifikia mwisho wa kazi yake
Mungu hakufanya kazi kabisa katika siku ya saba.
# alifikia mwisho wa
Hii ni lahaja. "alikuwa amemaliza"
# alipumzika siku ya saba kutoka kwenye kazi yake yote
"katika siku hiyo hakufanya kazi"
# Mungu akaibarikia siku ya saba
Yawezekana maana ni 1) Mungu alisababisha siku ya saba kutoa matokeo mazuri au 2) Mungu alisema ya kwamba siku ya saba ilikuwa nzuri.
# na akaitakasa
"na akaiweka kando" au "na kuifanya iwe yake"
# katika siku hiyo alipumzika kutoka kwenye kazi yake yote
"katika siku hiyo hakufanya kazi"