# mbingu "anga" au "mbingu" # na viumbe hai vyote vilivyo jaza "na viumbe hai vingi ambavyo vimo ndani yao" au "na makundi ya viumbe hai vinavyoishi ndani mwao" # zilimalizika Hii inaweza kutajwa katika njia endelevu "Mungu alimaliza kuviumba" # Siku ya saba Mungu alifikia mwisho wa kazi yake Mungu hakufanya kazi kabisa katika siku ya saba. # alifikia mwisho wa Hii ni lahaja. "alikuwa amemaliza" # alipumzika siku ya saba kutoka kwenye kazi yake yote "katika siku hiyo hakufanya kazi" # Mungu akaibarikia siku ya saba Yawezekana maana ni 1) Mungu alisababisha siku ya saba kutoa matokeo mazuri au 2) Mungu alisema ya kwamba siku ya saba ilikuwa nzuri. # na akaitakasa "na akaiweka kando" au "na kuifanya iwe yake" # katika siku hiyo alipumzika kutoka kwenye kazi yake yote "katika siku hiyo hakufanya kazi"