sw_tn/gal/05/25.md

12 lines
260 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kama tukiishi kwa Roho
"Tangu Roho wa Mungu alipotufanya kuwa hai"
# tembea kwa Roho
Neno 'kutembea' ni sitiari kuonesha maisha ya kila siku. "mruhusu Roho Mtakatifu awaogoze ili kwamba tufanye mambo yanayompendeza na kumheshimu Mungu.
# tu
"tunapaswa"