sw_tn/gal/01/15.md

24 lines
878 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Aliniita kupitia neema yake
Maana zinazokubalika ni 1)"Mungu aliniita kumtumikia kwa sababu Yeye ni wa neema" au 2) " Aliniita kwa njia ya neema yake."
# kumdhihirisha Mwanawe ndani yangu
Maana zinazokubalika 1)" kuniruhusu mimi nimjue Mwana wake" 2) "Ulimwengu umwone Yesu Mwana wa Mungu kupitia kwangu."
# Mwana
Hili ni jina muhimu la Yesu, Mwana wa Mungu
# kumtangaza Yeye
Kumtangaza kuwa Yeye ni Mwana wa Mungu" au "kuhubiri habari njema kuhusu Mwana wa Mungu"
# Wala sikutafuta ushauri wa mwili na damu
Haya maelezo yanamaanisha kuzungumza na watu wengine. AT: " kuwaomba watu wanisaidie kuelewa ujumbe."
# kupanda
AT: "Kusafiri" Mji wa Yerusalem ulikuwa katika mkoa ulikuwa na milima mingi, ambayo ilimlazimu mtu kupanda milima mingi ili kufika huko, na hivyo ilikuwa kawaida kueleza kitendo cha kusafiri kwenda Yerusalemu kama "kupanda kwenda Yerusalemu."