sw_tn/gal/01/06.md

32 lines
811 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi Unganishi:
Paulo anatoa sababu yake ya kuandika barua hii-anawakumbusha kuendelea kuielewa injili.
# Ninashangaa
"Ninashangazwa" au "Nimeshitushwa." Paulo alisikitishwa na mambo haya waliyokuwa wanayafanya.
# kwamba mmegeuka haraka sana kutoka kwake... na kwenda kwenye injili nyingine
Maana nyingine zaweza kuwa ni 1) " Mmeacha kwa haraka sana kumtumaini Yeye au 2) "mmeacha kwa haraka sana kuwa waaminifu kwake."
# Yeye aliyewaita
"Mungu, aliyewaita ninyi"
# kuitwa
Hapa inamanisha Mungu amewateua or kuwachagua watu kuwa watoto wake, kumtumikia na kuutangaza wa ujumbe wa wokovu kupitia kwa Yesu.
# kwa neema ya Kristo
" kwa sababu ya neema ya Krsto" au "kwa sababu ya dhabihu ya neema ya Kristo"
# Mnageukia injili nyingine
Mnaamini injili nyingine
# watu
watu wote au binadamu