sw_tn/ezk/07/23.md

40 lines
945 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Haya ni maneno ya Yahwe kwa Ezekieli kuhusu Israeli.
# Tengeneza mnyororo
Minyororo hutumika kushikilia watumwa au wafungwa. Mungu anasema hivi kuonyesha watu ambao watakuwa watumwa au wafungwa.
# nchi imejawa na hukumu ya damu
"kila sehemu katika nchi Mungu anawahukumu watu kwa sababu wamewaua watu wengine vikali sana."
# mji umejaa udhalimu
"Udhalimu u kila mahali katika mji" au "watu wengi katika mji wanafanya mambo maovu kwa wengine"
# na watamiliki nyumba zao
"waovu watazichukua nyumba za Israeli"
# nitaleta mwisho kwenye fahari ya uweza
nitawafanya watu wenye nguvu katika Israeli kuacha kujiona fahari"
# mahali pao patakatifu patanajisiwa!
Maadui watapanajisi mahali mnapo abudia."
# mahali pao patakatifu
mahali ambapo walipoabudia sanamu.
# Hofu itakuja
"Watu watakuwa na hofu"
# Wataitafuta amani
"Watatumaini tumaini kwa ajili ya amani" au "Watajaribu kufanya amani pamoja na maadui zao"