sw_tn/exo/36/11.md

20 lines
440 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kisha akafanya vitanzi ... ikawa maskani moja
Kwa 36:11-13 ona jinsi ulivyo tafsiri maneno haya 26:4
# vitanzi vya uzi wa bluu
vitanzi vya vitambaa vya bluu
# kitambaa
Haya yalikuwa vitambaa vikubwa vya kushona vilivyo tumika kutengeneza kifuniko na kuta za kugawanya patakatifu.
# Akafanya
Hapa "akafnya" ya husu Bezaleli, lakini ina husisha wanaume wanao fanya kazi hekaluni.
# kulabu hamsini za dhahabu
"kulabu 50 za dhahabu"