# Kisha akafanya vitanzi ... ikawa maskani moja Kwa 36:11-13 ona jinsi ulivyo tafsiri maneno haya 26:4 # vitanzi vya uzi wa bluu vitanzi vya vitambaa vya bluu # kitambaa Haya yalikuwa vitambaa vikubwa vya kushona vilivyo tumika kutengeneza kifuniko na kuta za kugawanya patakatifu. # Akafanya Hapa "akafnya" ya husu Bezaleli, lakini ina husisha wanaume wanao fanya kazi hekaluni. # kulabu hamsini za dhahabu "kulabu 50 za dhahabu"