sw_tn/exo/32/30.md

16 lines
359 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mmetenda dhambi kuu
Waliabudu sanamu.
# Labda nitafanya upatanisho kwa ajili ya dhambi yenu
Musa aliongea kumshawishi Mungu kuwasamehe watu kana kwamba aliweza fanya upatanisho kwa ajili ya dhambi.
# unifute, nakusihi, katika kitabu
Hapa Musa anaongelea jina lake.
# kitabu chako ulichoandika
Mungu alicho andika katika kitabu cha weza andikwa wazi.