# Mmetenda dhambi kuu Waliabudu sanamu. # Labda nitafanya upatanisho kwa ajili ya dhambi yenu Musa aliongea kumshawishi Mungu kuwasamehe watu kana kwamba aliweza fanya upatanisho kwa ajili ya dhambi. # unifute, nakusihi, katika kitabu Hapa Musa anaongelea jina lake. # kitabu chako ulichoandika Mungu alicho andika katika kitabu cha weza andikwa wazi.