sw_tn/exo/30/34.md

20 lines
520 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kumwambia Musa nini cha kufanya. Yahweh anampa amri Musa tu.
# natafi, na shekelethi, na kelbena
Haya ni manukato.
# Nawe utafanya uvumba wa vitu hivyo, manukato ya kazi ya ustadi wa mtengenazaji manukato, yatakuwa yamekolea
Neno "yamekolea" la weza tafsiriwa katika tensi tendaji.
# mtengenazaji manukato, yatakuwa yamekolea
Maana zinazo wezekana ni 1) Musa alipaswa kumpa mtengeneza manukato kufanya kazi au 2) Musa alipaswa kufanya kazi peke yake.
# utayaponda
"utasaga"