# Maelezo ya Jumla Yahweh anaendelea kumwambia Musa nini cha kufanya. Yahweh anampa amri Musa tu. # natafi, na shekelethi, na kelbena Haya ni manukato. # Nawe utafanya uvumba wa vitu hivyo, manukato ya kazi ya ustadi wa mtengenazaji manukato, yatakuwa yamekolea Neno "yamekolea" la weza tafsiriwa katika tensi tendaji. # mtengenazaji manukato, yatakuwa yamekolea Maana zinazo wezekana ni 1) Musa alipaswa kumpa mtengeneza manukato kufanya kazi au 2) Musa alipaswa kufanya kazi peke yake. # utayaponda "utasaga"