forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
284 B
Markdown
16 lines
284 B
Markdown
|
# Maelezo ya Jumla
|
||
|
|
||
|
Mungu anaendelea kumwambia Musa nini watu wafanye.
|
||
|
|
||
|
# suruali za nguo ya kitani
|
||
|
|
||
|
Hizi zilikuwa nguo za ndani, nguo zinazo valia njee ya nguo za njee, karibu na ngozi.
|
||
|
|
||
|
# hema ya kukutania
|
||
|
|
||
|
Hili ni jina lingine la maskani.
|
||
|
|
||
|
# amri ya milele
|
||
|
|
||
|
"sheria hisiyo kwisha"
|