# Maelezo ya Jumla Mungu anaendelea kumwambia Musa nini watu wafanye. # suruali za nguo ya kitani Hizi zilikuwa nguo za ndani, nguo zinazo valia njee ya nguo za njee, karibu na ngozi. # hema ya kukutania Hili ni jina lingine la maskani. # amri ya milele "sheria hisiyo kwisha"