sw_tn/exo/24/09.md

28 lines
535 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nadabu ... Abihu
Haya ni majina ya wanaume.
# Chini ya miguu
Hii ina muongelea Mungu kana kwamba alikuwa na miguu ya mwanadamu.
# sakafu iliyo jengwa kwa jiwe la yakuti samawi
"sakafu iliyo tengenezwa kwa mawe ya buluu yanayo itwa yakuti samawi"
# sakafu
ardhi ngumu iliyo tengenezwa kwa kutembelea au kuendeshea
# jiwe la yakuti samawi
Hii ni dini ambalo ni buluu kwa rangi.
# safi kama mbingu yenyewe
Hili ni fumbo.
# Mungu hakugusa na mkono kwa hasira viongozi Waisraeli
Hii ina maana kuwa Mungu hakujeruhi viongozi.