# Nadabu ... Abihu Haya ni majina ya wanaume. # Chini ya miguu Hii ina muongelea Mungu kana kwamba alikuwa na miguu ya mwanadamu. # sakafu iliyo jengwa kwa jiwe la yakuti samawi "sakafu iliyo tengenezwa kwa mawe ya buluu yanayo itwa yakuti samawi" # sakafu ardhi ngumu iliyo tengenezwa kwa kutembelea au kuendeshea # jiwe la yakuti samawi Hii ni dini ambalo ni buluu kwa rangi. # safi kama mbingu yenyewe Hili ni fumbo. # Mungu hakugusa na mkono kwa hasira viongozi Waisraeli Hii ina maana kuwa Mungu hakujeruhi viongozi.