sw_tn/est/09/26.md

16 lines
351 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Purimu
Sikukuu iliyosherehekewa kukumbuza wokovu wa Wayahudi katika Uajemi kutoka kwa njama ya Hamani ya kuharibu na kuua Wayahudi wote ndani ya siku moja.
# mbili
"2"
# Siku hizi zilipawa kusherehekewa na kutunzwa
"Wayahudi walipaswa kusherehekea na kuzitunza siku hizi"
# "wasikome kuzitunza kwa uaminifu"
"kutunza kwa uaminifu mara zote"