# Purimu Sikukuu iliyosherehekewa kukumbuza wokovu wa Wayahudi katika Uajemi kutoka kwa njama ya Hamani ya kuharibu na kuua Wayahudi wote ndani ya siku moja. # mbili "2" # Siku hizi zilipawa kusherehekewa na kutunzwa "Wayahudi walipaswa kusherehekea na kuzitunza siku hizi" # "wasikome kuzitunza kwa uaminifu" "kutunza kwa uaminifu mara zote"