forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
621 B
Markdown
16 lines
621 B
Markdown
|
# Na mvae kofia ya wokovu
|
||
|
|
||
|
Wokovu uliopewa na Mungu unalinda mawazo ya muumini kama vile kofia inavyolinda kichwa cha askari.
|
||
|
|
||
|
# na upanga wa Roho, ambayo ni neno la Mungu
|
||
|
|
||
|
Neno la Mungu, limevuviwa na Roho Mtakatifu, ili litumike kwa kupigana kinyume na kuwalinda waumini kutoka kwa mwovu kama vile askari anavyotumia upanga kupigana na kujilinda dhidi ya adui anayevamia.
|
||
|
|
||
|
# pamoja na kusali na kuomba, ombeni kwa Roho
|
||
|
|
||
|
"Ombeni wajati wote katika Roho kama unavyoomba na ufanye maombezi maalumu"
|
||
|
|
||
|
# kwa uvumilivu wote na maombi kwa ajili ya waumini wote
|
||
|
|
||
|
"Mara kwa mara tuwe macho kwa kuomba kwa ajili ya waumini wote"
|