forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
538 B
Markdown
12 lines
538 B
Markdown
|
# sentensi unganishi
|
||
|
|
||
|
Paulo anatoa maelekezo kuwafanya waumini kuwa na nguvu katika hii vita tunaishi kwa ajili ya Bwana.
|
||
|
|
||
|
# iweni na nguvu katika Bwana na katika uwezo wa nguvu zake
|
||
|
|
||
|
"Hii inategemea kikamilifu katika Bwana kuwapa nguvu ya ya Kiroho"
|
||
|
|
||
|
# Vaeni silaha zote za Mungu zilizo kamili, ili kwamba mpate kusimama kinyume na hila za shetani
|
||
|
|
||
|
Wakristo wanapaswa kutumia raslimali zote ambazo Mungu amewapa ili kusimama kinyume na shetani kama vile maaskari wa wanavyoweka siraha za kujikinga mwenyewe kutoka kwa uvamizi wa maadui.
|