sw_tn/eph/05/28.md

12 lines
359 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# kama miili yao wenyewe
NI: "kama wapendavyo miili yao wenyewe"
# badala yake anaurutubisha
"badala yake anautunza" au "yeye anaulinda"
# sisi tu viungo vya mwili wake
Inawezekana ikamaanisha 1) "sisi ni jumuiya ya mwili wake" au 2) waumini wanashikamana kuutengeneza mwili wa Kristo kama vile viungo vya mwili wa mwanadamu vinavyoshikamana kuunda mtu.