# kama miili yao wenyewe NI: "kama wapendavyo miili yao wenyewe" # badala yake anaurutubisha "badala yake anautunza" au "yeye anaulinda" # sisi tu viungo vya mwili wake Inawezekana ikamaanisha 1) "sisi ni jumuiya ya mwili wake" au 2) waumini wanashikamana kuutengeneza mwili wa Kristo kama vile viungo vya mwili wa mwanadamu vinavyoshikamana kuunda mtu.