sw_tn/eph/04/23.md

16 lines
579 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# vueni utu wenu wa zamani
Paulo anazungumzia tabia njema kana kwamba ni vipande vya nguo. "Lazima ubadili tabia" au Lazima uweke mbali mtu wa kale"
# mfanywe upya katika roho ya akili zenu
Hii ya weza badilishwa katika njeo tendaji. "Mungu anaweza kukusaidia ukuwe karibu na yeye na kufikiri kwa namna mpya"
# Ili kwamba mweze kuvaa utu mpya
Mtu asiye mwamini anakuwa mtu mpya anapokuwa muumini katika Kristo kama ilivyo kwa mtu anavyovaa nguo mpya na kuonekana tofauti kabisa.
# unaoendana na Mungu
" inayo akisi tabia ya Mungu" au "yenye kuonyesha jinsi Mungu alivyo"