# vueni utu wenu wa zamani Paulo anazungumzia tabia njema kana kwamba ni vipande vya nguo. "Lazima ubadili tabia" au Lazima uweke mbali mtu wa kale" # mfanywe upya katika roho ya akili zenu Hii ya weza badilishwa katika njeo tendaji. "Mungu anaweza kukusaidia ukuwe karibu na yeye na kufikiri kwa namna mpya" # Ili kwamba mweze kuvaa utu mpya Mtu asiye mwamini anakuwa mtu mpya anapokuwa muumini katika Kristo kama ilivyo kwa mtu anavyovaa nguo mpya na kuonekana tofauti kabisa. # unaoendana na Mungu " inayo akisi tabia ya Mungu" au "yenye kuonyesha jinsi Mungu alivyo"