sw_tn/eph/04/01.md

20 lines
738 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# kauli unganishi
Kwasababu ya kile Paulo amekuwa akiwaandikia Waefeso, anawatia moyo namna gani kuishi maisha yao kama waamini na tena anasisitiza umoja wa waamini.
# Kama mfungwa kwa ajili ya Bwana
"kama mtu ambaye yuko gerezani kwa sababu ya uchaguzi wake wa kumtumikia Bwana"
# Nawasihi ninyi kuishi maisha yanayoendana na wito
Neno "ninyi" linamaanisha Waefeso waamini. AT: "Nawatia moyo ninyi kujitunza wenyewe kwa namna nzuri ya wito."
# Kwa unyenyekevu mkubwa na upole na uvumilivu, mkichukuliana kila mmoja katika upendo
"jifunzeni kuwa wanyenyekevu, wapole, waumilivu na kuchukuliana kila mmoja katika upendo"
# Tunzeni umoja wa Roho katika kifungo cha amani
"tafuteni kuishi pamoja kwa amani kuuhifadhi umoja wa Roho"