forked from WA-Catalog/sw_tn
32 lines
1.2 KiB
Markdown
32 lines
1.2 KiB
Markdown
|
# Mungu amenipa zawadi hii japo kuwa mimi ni mtu mdogo kati ya wale wanaopata nafasi kwa Mungu
|
||
|
|
||
|
"Ingawa mimi ni mdogo anastahili watu wote wa Mungu, Mungu amenipa zawadi hii ya neema"
|
||
|
|
||
|
# kuleta kila mtu katika mwanga na kuwaambia kuhusu mpango wa siri za Mungu
|
||
|
|
||
|
"kuwafanya watu wote kufahamu mpango wa Mungu"
|
||
|
|
||
|
# kuwaambia kuhusu mpango wa siri wa Mungu kwamba Mungu (aliyeviumba vitu vyote) alikuwa amejificha kwa miaka katika siku za nyuma
|
||
|
|
||
|
"kitu ambacho Mungu alikificha kwa mda mrefu uliopita. Alipo umba kila kitu"
|
||
|
|
||
|
# wale waliotengwa kwa Mungu
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza semwa katika: "wale ambao Mungu amewatenga kwa ajili yake mwenyewe "
|
||
|
|
||
|
# usiopimika
|
||
|
|
||
|
haiwezekani kujulikana kabisa
|
||
|
|
||
|
# utajiri wa Kristo
|
||
|
|
||
|
Paulo anazungumzia ukweli kuhusu Kristo na baraka yeye huleta kana kwamba vilikuwa utajiri wa mali.
|
||
|
|
||
|
# kuwaelimisha watu wote kuhusu mpango wa siri wa Mungu ni nini.
|
||
|
|
||
|
"angaza mwanga kwenye mpango wa Mungu ili watu wote wajue ni nini" au "kuwaambia watu wote ni nini mpango wa siri ya Mungu"
|
||
|
|
||
|
# uliofichwa kwa miaka mingi kuanzia mwanzo Mungu alivyoumba kila kitu.
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza semwa kama: "Kwamba Mungu, aliyeviumba vitu vyote, alikuwa ameficha kwa umri mrefu katika siku za nyuma"
|