sw_tn/eph/02/08.md

20 lines
690 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kwa maana ni kwa neema mmeokolewa kwa njia ya imani
Wema wake Mungu kwetu ni sababu iliyotuwezesha sisi kuokolewa kutoka katika hukumu kama tu tutamwamini Yesu.
# Haitokani na
Neno "haitokani" linahusu au linarejea kwamba "kwa neema mmeokolewa kwa njia ya imani"
# ...kutoka kwetu
Neno "kwetu" linaelezewa kumaanisha Paulo na waamini wote katika Efeso.
# sisi tu kazi ya Mungu
Neno "sisi" linaelezewa kumaanisha Paulo na waamini wote katika Efeso
# katika Yesu Kristo
"Ndani ya Kristo" na maelezo kama hayo ni mifano ambayo mara nyingi hutokea katika barua au nyaraka za Agano Jipya. Inaelezea aina nzito kabisa ya mahusiano inayoweza kuwepo kati ya Kristo na wote wanaomwamini.