sw_tn/ecc/10/16.md

16 lines
545 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ole wako ardhi ... umebarikiwa ardhi
Katika mstari huu, mwandishi anazungumza na taifa kana kwamba ni mtu.
# kama mfalme wako ni kijana mdogo
Hii inamaanisha kuwa mfalme hana uzoefu au hajapevuka kiakili. Lakini tafsiri zingine za kisasa zinatafsiri neno la Kihebrania kama "mtumishi"
# huanza karamu ahsubuhi
Hii huashiria kuwa viongozi wanajali zaidi kuwa na wakati mzuri kuliko kuongoza taifa.
# mfalme wako ni mwana wa waungwana
Hii huashiria kuwa mwana huyu amefundishwa vizuri na wakubwa wake katika desturi za kuwa mfalme mzuri.