sw_tn/ecc/10/01.md

16 lines
539 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kama nzi walio kufa ... hivyo hivyo upumbavu kidogo
Kama vile ambavyo nzi wanaweza kuharibu manukato, vivyo hivyo upumbavu unaweza kuharibu sifa ya mtu kwa hekima na heshima.
# Moyo wa mtu mwenye hekima ... moyo wa mpumbavu
Hapa neno "moyo" inamaanisha akili na nia. "Jinsi mtu mwenye hekima anavyowaza ... jinsi mpumbavu anavyowaza"
# huelekea kulia ... huelekea kushoto
Hapa maneno "kulia" na "kushoto" yanamaanisha yalio sawa na yasiyo sawa. "hufanya yaliyo sawa .. hufanya yasiyo sawa"
# fikira zake zina upungufu
"ni mjinga"