sw_tn/ecc/09/16.md

8 lines
300 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# hekima ya mtu masikini hudharauliwa
Kwa sababu mtu huyu alikuwa masikini, watu hawakuutambua hekima yake, wala kumheshimu kwa hekima yake. "watu husharau hekima ya mtu masikini"
# maneno yake hayasikilizwi
Watu waliacha kumsikiliza. "hawasikiliza kile anachokisema" au "hawachukui ushauri wake"