# hekima ya mtu masikini hudharauliwa Kwa sababu mtu huyu alikuwa masikini, watu hawakuutambua hekima yake, wala kumheshimu kwa hekima yake. "watu husharau hekima ya mtu masikini" # maneno yake hayasikilizwi Watu waliacha kumsikiliza. "hawasikiliza kile anachokisema" au "hawachukui ushauri wake"