sw_tn/ecc/09/01.md

12 lines
307 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# nilifikiri haya yote katika akili yangu
"Niliwaza kwa kina sana kuhusu haya yote"
# Wote wako katika mikono ya Mungu
Hapa neno "wote" inamaanisha "wenye haki na watu wenye hekima" pamoja na "matendo yao"
# mikono ya Mungu
Hapa neno "mikono" linamaanisha nguvu na mamlaka. "chini ya umiliki wa Mungu"