# nilifikiri haya yote katika akili yangu "Niliwaza kwa kina sana kuhusu haya yote" # Wote wako katika mikono ya Mungu Hapa neno "wote" inamaanisha "wenye haki na watu wenye hekima" pamoja na "matendo yao" # mikono ya Mungu Hapa neno "mikono" linamaanisha nguvu na mamlaka. "chini ya umiliki wa Mungu"