sw_tn/ecc/08/10.md

16 lines
575 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# wabaya wakizikwa hadharani
Watu waovu waliokufa walipewa mazishi ya heshima. Inaashiria kuwa miili yao ilipaswa kutupwa katika rundo lililokataliwa la mji au kitu kama hicho. "watu wanawazika waovu hadharani"
# Waliondolewa mahali patakatifu na kuzikwa mahali waliposifiwa na watu
"Watu waliwatowa kutoka eneo takatifu na kuwazika na kuwasifu"
# Wakati hukumu dhidi ya tendo ovu halihukumiwi haraka
"Wakati watu katika madaraka hawatoi upesi hukumu dhidi ya tendo la uovu"
# hushawishi mioyo ya wanadamu
Hapa neno "moyo" linamaanisha mapenzi. "humshawishi binadamu"