# wabaya wakizikwa hadharani Watu waovu waliokufa walipewa mazishi ya heshima. Inaashiria kuwa miili yao ilipaswa kutupwa katika rundo lililokataliwa la mji au kitu kama hicho. "watu wanawazika waovu hadharani" # Waliondolewa mahali patakatifu na kuzikwa mahali waliposifiwa na watu "Watu waliwatowa kutoka eneo takatifu na kuwazika na kuwasifu" # Wakati hukumu dhidi ya tendo ovu halihukumiwi haraka "Wakati watu katika madaraka hawatoi upesi hukumu dhidi ya tendo la uovu" # hushawishi mioyo ya wanadamu Hapa neno "moyo" linamaanisha mapenzi. "humshawishi binadamu"