sw_tn/ecc/08/02.md

20 lines
442 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kiapo cha Mungu cha kumlinda yeye
"kiapo ulichoapa mbele za Mungu kumlinda"
# Usiharakishe kuondoka mbele ya uwepo wake
Maana zinazowezekana ni 1) usiwe mwepesi kuondoka kimwili katika uwepo wake au 2) kubaki mwaminifu kwa Mfalme, usimuache kwa haraka kwa ajili ya mwingine.
# Neno la mfalme hutawala
"Asemacho mfalme ni sheria"
# ni nani atakaye mwambia
"hakuna awazaye kumwambia"
# Unafanya nini?
"Haupaswi kufanya unachofanya."