# kiapo cha Mungu cha kumlinda yeye "kiapo ulichoapa mbele za Mungu kumlinda" # Usiharakishe kuondoka mbele ya uwepo wake Maana zinazowezekana ni 1) usiwe mwepesi kuondoka kimwili katika uwepo wake au 2) kubaki mwaminifu kwa Mfalme, usimuache kwa haraka kwa ajili ya mwingine. # Neno la mfalme hutawala "Asemacho mfalme ni sheria" # ni nani atakaye mwambia "hakuna awazaye kumwambia" # Unafanya nini? "Haupaswi kufanya unachofanya."