sw_tn/ecc/07/17.md

16 lines
329 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kwa nini ufe kabla ya wakati wako?
"Hakuna sababu ya wewe kufa kabla ya unavyotakiwa"
# ushike hekima hii
"jikabidi kwa hekima"
# usiache haki iende zake
"usiache kujaribu kuwa mwenye haki" au "unapaswa kuendelea kujaribu kuwa mwenye haki"
# atatimiza ahadi zake zote
"atafanya kila kitu ambacho Mungu anatarajia kwake"