# Kwa nini ufe kabla ya wakati wako? "Hakuna sababu ya wewe kufa kabla ya unavyotakiwa" # ushike hekima hii "jikabidi kwa hekima" # usiache haki iende zake "usiache kujaribu kuwa mwenye haki" au "unapaswa kuendelea kujaribu kuwa mwenye haki" # atatimiza ahadi zake zote "atafanya kila kitu ambacho Mungu anatarajia kwake"