sw_tn/ecc/06/07.md

16 lines
441 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kujaza mdomo wake
"kuweka chakula mdomoni mwake" au "kula"
# hamu yake haishibi
"haridhishi hamu yake"
# ni faida gani aliyo nayo mwenye hekima kuliko mpumbavu?
Hekima ya mtu mwenye hekima haimfanyi kuwa na starahe za ziada. "mtu mwenye hekima hada nafuu juu ya mpumbavu."
# Ni faida gani aliyo nayo masikini hata kama anajua jinsi ya kutenda mbele ya watu?
"Mtu masikini hana nafuu hata kama anajua kutenda mbele ya watu wengine."