# kujaza mdomo wake "kuweka chakula mdomoni mwake" au "kula" # hamu yake haishibi "haridhishi hamu yake" # ni faida gani aliyo nayo mwenye hekima kuliko mpumbavu? Hekima ya mtu mwenye hekima haimfanyi kuwa na starahe za ziada. "mtu mwenye hekima hada nafuu juu ya mpumbavu." # Ni faida gani aliyo nayo masikini hata kama anajua jinsi ya kutenda mbele ya watu? "Mtu masikini hana nafuu hata kama anajua kutenda mbele ya watu wengine."