sw_tn/ecc/06/01.md

20 lines
383 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# ni mbaya kwa watu
"inasababisha ugumu kwa watu"
# mali na utajiri
Maneno haya mawili yana maana moja. Yanamaanisha pesa na vitu ambavyo anaweza kununua kwa pesa.
# hakosi chochote
"ana kila kitu"
# Mungu ... hampi uwezo wa kukifurahia
Kukusanya utajiri na mali na kushindwa kuufaidi ni bure.
# Huu ni mvuke, teso baya
Mtu kutoweza kufaidi mali yake ni teso baya au laana.