# ni mbaya kwa watu "inasababisha ugumu kwa watu" # mali na utajiri Maneno haya mawili yana maana moja. Yanamaanisha pesa na vitu ambavyo anaweza kununua kwa pesa. # hakosi chochote "ana kila kitu" # Mungu ... hampi uwezo wa kukifurahia Kukusanya utajiri na mali na kushindwa kuufaidi ni bure. # Huu ni mvuke, teso baya Mtu kutoweza kufaidi mali yake ni teso baya au laana.